MBEYA CITY, SIMBA ZAGAWA ‘DOZI’, KAGERA YABANWA NYUMBANI.
LIGI Kuu ya NBC imeendelea kwa michezo mitatu iliyochezwa mkoani Mbeya, Mwanza na mkoani Kagera. Mchezo wa kwanza uliwakutanisha mbeya city na Dodoma jiji na ‘wababe’ wa Mbeya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji kwenye uwanja wa Sokoine. Wenyeji hao walihitaji dakika 9 pekee kuandika bao la kwanza kupitia kwa Mwani Thobias,…