MZIZE AIBEBA YOUNG AFRICANS IKIICHAPA MASHUJAA.
LIGI Kuu ya NBC imeendelea kushika kasi ikiwa ni mzunguko wake wa tisa kwa timu ya Young Africans na Mashujaa, huku timu ya Young Africans ikiondoka na alama tatu muhimu za mchezo huo ulichezwa kakika uwanja wa KMC Complex saa 12:30 jioni, DSM, ambapo timu ya Young Africans ilikuwa mwenyeji wa timu ya Mashujaa. Kipindi…