PAMBA, KAGERA ZAENDELEA KUSOTA LIGI KUU YA NBC BILA USHINDI.
LIGI Kuu msimu wa 2026/27 imeendelea vyema ikiwa ni raundi ya sita kwa kuzikutanisha TRA United na Pamba Jiji, huku Pamba Jiji ikishindwa kufurukuta ikiwa uwanja wa nyumbani CCM Kirumba. Mchezo huo ulishuhudia TRA United ikianza kwa kasi na kupata bao la kwanza dakika ya nne kupitia kwa mchezaji Ani Elijah kabla ya Nonyem Okorocha…