BODI YA LIGI KUU TANZANIA YAJENGEA UWEZO WAANDISHI KUELEKEA MSIMU WA 2026/27.
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeendesha semina ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari za michezo katika Ukumbi wa NSSF Mafao House, Ilala, Agosti 3, 2026, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2026/27. Akifungua semina hiyo Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Nassor Idrissa, aliwataka waandishi…