News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

KMC, RUVU SHOOTING, HALI NI TETE

MCHEZO wa Ligi Kuu NBC kati ya Dodoma Jiji dhidi ya KMC umemalizika kwa kushuhudia kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ akianza mchezo wake wa kwanza kama kocha mkuu wa KMC kwa kufungwa bao 1. Bao la Dodoma Jiji limefungwa dakika ya 19 na mshambuliaji Collins Opare aliefikisha mabao saba na kuendelea kuididimiza KMC nafasi ya 14…

Honest Mwanitega · Read more

JKT TANZANIA YATINGA LIGI KUU YA NBC

SARE ya bao moja iliyopata timu ya Pamba kutoka mkoa wa Mwanza dhidi ya Mbuni ya Arusha leo imeihakikishia JKT Tanzania kupanda Ligi Kuu licha ya kupoteza mchezo wake ugenini mbele ya Kitayosce ya Tabora kwa mabao 3-2. JKT inarudi Ligi Kuu ya NBC ikiwa na michezo mitatu mkononi huku vita ikibaki kwa Kitayosce na…

Honest Mwanitega · Read more

NANE BORA FIRST LEAGUE KUTIMUA VUMBI DAR

MICHUANO ya First League hatua ya Nane Bora inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Aprili 24 hadi Mei 3, 2023 michezo yote ikipangwa kuchezwa katika uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Michuano hiyo inashirikisha timu nne zilizomaliza nafasi za juu katika hatua ya awali kwenye kila kundi ambazo ni African Lyon, Dar City, Cosmopolitan za Dar…

Honest Mwanitega · Read more

DAR ES SALAAM NI NYEKUNDU NA NYEUPE

TIMU ya simba imefanikiwa kushinda mchezo wa Ligi Kuu NBC dhidi ya Yanga kwa mabao 2-0 baada ya miaka mitatu tangu wafanye hivyo mwaka 2019. Simba ikiwa mwenyeji ilifanikiwa kumaliza mchezo kipindi cha kwanza kwa mabao yaliyofungwa na Henock Inonga na Kibu Denis yaliyofanya timu hiyo kufikisha mabao 62 kwa msimu huu. Mchezo huo ulishuhudia…

Honest Mwanitega · Read more

“WANANCHI TUPO TAYARI KUMUUA SIMBA” MUDATHIR YAHYA.

KIUNGO wa timu ya Yanga Mudathir Yahya amejigamba kwa kusema wananchi ni binadamu na kesho wanaenda kupambana na Simba hivyo wapo tayari kuhakikisha wanashinda vita ya kesho ili kuhakikisha wanatwaa ubingwa msimu huu. “timu ya Simba ina kikosi kizuri ila sisi pia tuna timu nzuri sana ya kupata ushindi kesho, wao wanashambulia vizuri na sisi…

Honest Mwanitega · Read more

“TUNAUTAKA UBINGWA” MOHAMED HUSSEIN.

YAKISALIA masaa machache kabla ya watani wa jadi wa soka la Tanzania timu ya Simba na Yanga kukutana kwenye uwanja wa Mkapa, Dar kesho majira ya saa 11:00 jioni nahodha msaidizi wa Simba Mohammed Hussein amesema wapo tayari kushinda mchezo huo ili kuendelea kuweka hai matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu. Akizungumza…

Honest Mwanitega · Read more

DABI YA DAR ES SALAAM.

IMESALIA Siku moja pekee kwa miamba ya soka nchini Tanzania Simba na Yanga kukutana katika mchezo wa duru la pili katika Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa majira ya 11:00 jioni kwenye uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam jumapili Aprili 16 . Fiston Mayele wa Yanga ndiye kinara wa kufunga mabao katika michezo ya Ligi Kuu…

Honest Mwanitega · Read more

YANGA KUENDELEZA REKODI LEO?

TIMU ya Yanga leo inaingia uwanjani ikiwa ugenini dhidi ya KMC kutafuta rekodi mpya ya kushinda katika michezo kumi mfululizo ya Ligi Kuu ya NBC kwenye uwanja wa Mkapa mkoani Dar es Salaam. Mechi hiyo itakayochezwa saa 10:00 alasiri inakutanisha KMC ambayo haijapata matokeo katika mechi tano mfululizo dhidi ya Yanga iliyofanikiwa kushinda mechi tisa…

Honest Mwanitega · Read more

MBOMBO, KANGWA KUIKOSA MZIZIMA DERBY LEO

TIMU ya Simba leo inaingia katika uwanja wa Mkapa mkoani Dar es Salaam kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaoanza saa 1:00 usiku. Wekundu hao wa Msimbazi watajaribu kurudisha furaha kwa mashabiki wake baada ya kushindwa kupata walau alama moja katika michezo miwili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya…

Honest Mwanitega · Read more