News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

TAKWIMU: FAINALI YA KISASI NANE BORA

FAINALI ya First League hatua ya Nane Bora inatarajiwa kuchezwa Mei 3, kwenye uwanja wa Azam, Dar es Salaam kati ya Stand United ya Shinyanga na Cosmopolitan ya Dar. Timu hizi zilikutana hatua ya makundi katika mchezo ambao Stand ilishinda kwa bao moja lililofungwa na Tungu Robert dakika ya 70 kwa mkwaju wa penati. Timu…

Honest Mwanitega · Read more

STAND, COSMO ZATINGA CHAMPIONSHIP

NUSU fainali ya First League hatua ya Nane Bora imetamatika Mei Mosi kwa michezo miwili iliyoshuhudia Stand United ya Shinyanga na Cosmopolitan ya Dar es Salaam zikifanikiwa kukata tiketi ya kushiriki mashindano ya Championship msimu wa 2023/24. Stand United maarufu kama ‘Chama la Wana’ imefanikiwa kushinda mchezo wa nusu fainali dhidi ya TMA Stars ya…

Honest Mwanitega · Read more

HAWA HAPA MIAMBA WA NUSU FAINALI NANE BORA

TIMU za Dar City na TMA Stars zimeungana na Cosmopolitan na Stand United katika nusu fainali ya First League hatua ya Nane Bora msimu wa 2022/23. Dar City ilitoka suluhu dhidi ya African Lyon kwenye mchezo uliopigwa mapema saa 10:00 alasiri na kufikisha alama tano zilizowafanya kumaliza vinara wa kundi B kwa mabao mengi ya…

Honest Mwanitega · Read more

COSMOPOLITAN YAUNGANA NA STAND NUSU FAINALI

TIMU ya Cosmopolitan ya Dar es Salaam imeungana na Stand United ya Shinyanga katika nusu fainali ya First League hatua ya Nane Bora baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na timu ya Alliance ya Mwanza. Licha ya Alliance kutoka nyuma na kusawazisha mabao mawili kupitia kwa Joseph Naftal haikutosha kuwasaidia kusonga mbele hatua ya…

Honest Mwanitega · Read more

DAR CITY MAMBO SAFI, TMA IKIENDELEA KUTAMBA

TIMU ya Dar City kutoka Mkoani Dar es Salaam imefanikiwa kushinda mchezo wa kwanza katika mashindano ya First League hatua ya Nane Bora dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora kwa mabao 2-1. Dar City iliyopata suluhu mchezo wa kwanza dhidi ya TMA FC ya Arusha imekwea mpaka nafasi ya kwanza katika msimamo wa kundi B…

Honest Mwanitega · Read more

LIPULI, ALLIANCE HAKUNA MBABE, STAND YATINGA NUSU FAINALI

TIMU ya Lipuli ya Iringa ililazimika kusubiri hadi dakika ya 90 kupata bao la kusawazisha dhidi ya Alliance ya Mwanza na kufanikiwa kutoka na sare ya bao 1-1 katika mchezo wa First League hatua ya Nane Bora. Alliance ilikua ya kwanza kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Benjamin Williams dakika ya 32 kabla ya…

Honest Mwanitega · Read more

RHINO YAANZA KIBABE, TMA IKIENDELEZA REKODI

TIMU ya Rhino Rangers ya Tabora imeanza kibabe mashindano ya First League hatua ya Nane Bora kwa kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya African Lyon ya Dar kwenye mchezo wa kundi B uliopigwa saa 10:00 alasiri kwenye uwanja wa Azam. Pamoja na African Lyon kutangulia kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Agiri Ngoda…

Honest Mwanitega · Read more

PRISONS YAMALIZA UBABE WA GEITA NYANKUMBU

TIMU ya Prisons ya Mbeya imemaliza ubabe wa Geita Gold ikicheza katika uwanja wake wa Nyankumbu kwa kuifunga Mabao 3-1. Mchezo wa mwisho kwa Geita kufungwa uwanja wa Nyankumbu kabla ya kipigo cha leo ilikua dhidi ya timu ya Pamba kutoka Mwanza katika mchezo wa Ligi ya Championship msimu wa 2020/21. Mabao ya Jeremiah Juma,…

Honest Mwanitega · Read more

ALLIANCE, LIPULI ‘MWANZO MGUMU’ NANE BORA

TIMU za Alliance Fc ya Mwanza na Lipuli ya Iringa zimeanza mashindano ya First League hatua ya Nane Bora vibaya baada ya kupoteza michezo yao ya ufunguzi. Alliance ilipoteza dhidi ya Stand United ya Shinyanga kwa mabao 2-0 huku Lipuli ikifungwa na Cosmopolitan ya Dar es Salaam kwa mabao 3-1. Timu za Alliance na Lipuli…

Honest Mwanitega · Read more