SIMBA, YANGA KUPEPERUSHA BENDERA KIMATAIFA
Timu za Simba na Yanga zinazoshiriki mashindano ya kimataifa wikiendi hii zinaingia uwanjani kuanza safari ya kutafuta ubingwa wa kombe la klabu Bingwa Afrika na kombe la Shirikisho katika michezo ya makundi mzunguko wa kwanza. Simba wawakilishi katika klabu Bingwa Afrika leo watakuwa ugenini katika nchi ya Guinea dhidi ya timu ya Horoya AC mechi…