KMC YASALIA LIGI KUU
TIMU ya KMC ya Dar es Salaam imejihakikishia nafasi ya kushiriki Ligi Kuu NBC msimu 2023/24 baada ya kuifunga Mbeya City mabao 2-0. Ushindi wa mabao 2-1 walioupata Mbeya City katika mchezo wa awali jijini Mbeya, haukutosha kuwahakikishia mapema Wagonga Nyundo hao nafasi ya kucheza Ligi Kuu ya NBC 2023/24 baada ya kupoteza kwa jumla…