TAARIFA KUTOKA BODI YA LIGI KUU TANZANIA
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Novemba 4, 2022 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo; Ligi Kuu ya NBC (NBCPL) Mechi Namba 64: Young Africans SC 1-1 Simba SC Timu ya Young Africans imetozwa faini ya Sh.…