News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

MTIBWA YAISHUSHA MBEYA CITY, PRISONS HOI

TIMU ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kuishusha timu ya Mbeya City katika nafasi nne za juu katika msimamo wa Ligi baada ya kuifunga Polisi Tanzania bao 2-1. Polisi Tanzania ilikua ya kwanza kuandika bao kupitia kwa Ambrose Awio dakika ya 35 huku mabao ya Mtibwa yakifungwa na Ismail Mhesa dakika 45 kabla ya Onesmo Mayaya kufunga…

Honest Mwanitega · Read more

AZAM YAENDELEA KUWA TISHIO

TIMU ya Azam imeendelea kuwa na mwenendo mzuri wa matokeo katika Ligi Kuu NBC baada ya kuifunga timu ya Namungo bao moja ugenini na kufanikiwa kukusanya alama zote tatu zinazowapeleka nafasi ya kwanza katika msimamo. Bao hilo limefungwa na beki Edward Manyama dakika ya 29 na kuendeleza rekodi bora ya kutokupoteza mchezo wowote kwa kaimu…

Honest Mwanitega · Read more

HAWA HAPA VINARA WA TAKWIMU LIGI KUU NBC.

MZUNGUKO wa 13 Ligi Kuu NBC unatarajiwa kuanza leo Novemba 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa mkoani Dar es Salaam kwa mchezo kati ya timu ya Ruvu Shooting na timu ya Simba majira ya saa 1:00 usiku. Tangu kuanza kwa Ligi Kuu msimu huu wachezaji wamekua wakichuana katika takwimu ili kujiweka katika nafasi nzuri ya…

Honest Mwanitega · Read more

YANGA ‘YAIZIMA’ SINGIDA, MBEYA CITY, KAGERA HAKUNA MBABE.

IKIENDELEA kuonyesha ubabe baada ya kufuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika timu ya Yanga imeiadhibu Singida Big Stars mabao 4-1 katika mchezo wa mwisho wa kumaliza mzunguko wa 12 wa Ligi Kuu NBC. Mchezo huo umeshuhudia mchezaji Fiston Mayele wa Yanga akiwa wa kwanza kufunga mabao matatu ‘Hat-trick’ katika Ligi Kuu NBC msimu…

Honest Mwanitega · Read more

SIMBA YANGURUMA DAR,GEITA YATAKATA MBEYA

TIMU ya Simba imefanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo FC likifungwa na Moses Phiri dakika ya 32 kipindi cha kwanza baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mohammed Hussein ‘Zimbwe Junior’. Matokeo hayo yanaifanya Simba kufikisha pointi 24 na kukalia nafasi ya pili nyuma ya vinara Azam FC wenye alama 26 huku…

Honest Mwanitega · Read more

AZAM YAKWEA KILELENI,DODOMA JIJI YAZINDUKA

TIMU ya Azam FC imefanikiwa kupanda kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu NBC baada ya kupata ushindi dhidi ya Ruvu Shooting kwa bao 1-0. Bao la Azam limefungwa na Idriss Mbombo dakika ya 72 kwa mkwaju wa penati baada ya Ayoub Lyanga kufanyiwa faulo ndani ya eneo la Penati. Huu unakua ushindi wa tano mfululizo…

Honest Mwanitega · Read more

AZAM KUISHUSHA YANGA KILELENI LEO?

MZUNGUKO wa 12 wa Ligi Kuu NBC unatarajia kuanza leo Novemba 15,kwa michezo miwili itakayopigwa mkoani Dar es Salaam katika viwanja vya Uhuru na Azam Complex. Mchezo wa saa 10 alasiri utakaochezwa uwanja wa Uhuru KMC watakua wenyeji wa Dodoma Jiji iliyopoteza mchezo dhidi ya Azam huku kwenye uwanja wa Azam Complex timu ya…

Honest Mwanitega · Read more

HOTUBA YA MWENYEKITI – BODI YA LIGI KUU TANZANIA MKUTANO WA TISA WA BARAZA KUU LA BODI YA LIGI KUU TANZANIA

Ndugu Mgeni Rasmi, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo; Ndugu Ally Mayay, Mkurugenzi wa Michezo; Wajumbe wa Kamati ya Uongozi, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania; Wenyeviti Klabu za Ligi Kuu; Wenyeviti Klabu za Championship; Wenyeviti Klabu Za First League; Ndugu Wilfred Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania…

Honest Mwanitega · Read more

SINGIDA,SIMBA ZATOSHANA NGUVU,AZAM YAPETA

TIMU za Singida Big Stars ya mkoani Singida na Simba SC ya Dar es Salaam zimeshindwa kutambiana kwenye uwanja wa CCM Liti baada ya kutoka sare ya bao moja. Katikati ya watazamaji Zaidi ya elfu 11 waliofurika uwanjani kutazama mchezo huo wa Ligi Kuu NBC, Singida ilikuwa ya kwanza kupata bao lililowapeleka mapumziko kifua mbele…

Honest Mwanitega · Read more