BALEKE AONGOZA MBIO ZA UFUNGAJI LIGI KUU YA NBC.
MBIO za kuwania kiatu cha ufungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24 zimeendelea kupamba moto huku michezo mitano ikiwa imekamilika kwa kila timu. Jean Baleke wa Simba ndiye kinara wa ufungaji akiwa na mabao matano huku akifanikiwa kufunga mabao matatu kwenye mchezo mmoja (Hat-Trick) dhidi ya Coastal Union. Feisal Salum wa Azam…