News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

YANGA, SIMBA ZAENDELEZA REKODI LIGI KUU YA NBC.

TIMU za Yanga na Simba zinashikilia rekodi za kipekee hadi hivi sasa kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu huu 2023/2024 zinapocheza viwanja vya nyumbani na ugenini kwa timu hizi. Yanga ndio timu pekee ambayo haijapoteza mchezo wowote wa nyumbani kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu huu katika michezo 10 ya nyumbani Kati ya 20…

Yahaya Abushehe · Read more

KIPRE JR KINARA WA PASI ZA MABAO LIGI KUU YA NBC.

JUMLA ya mabao 364 yameshafungwa hadi hivi sasa kwenye Ligi Kuu ya NBC huku jumla ya wachezaji 137 wakihusika kwenye kuyatengeneza mabao hayo. Kipre JR ndiye kinara wa kutoa pasi za mabao akifanya hivyo mara nane kwenye mabao 47 ya Azam FC msimu huu. Kouassi Yao na Stephane Aziz Ki wanafuatia kila mmoja akitoa…

Yahaya Abushehe · Read more

AZİZ KI, FEITOTO WAKALI WA MABAO LIGI KUU YA NBC.

LIGI Kuu ya NBC imesimama kwa muda kupisha kalenda ya FIFA ya michezo ya kimataifa ya kirafiki kwa timu za taifa ambapo Tanzania Itacheza michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Bulgaria na Mongolia. Hadi Ligi hiyo inasimama jumla ya mabao 364 yamefungwa huku Yanga ikiwa ndiyo timu iliyofunga mabao mengi zaidi (49). Stephane Ki…

Yahaya Abushehe · Read more

NANI KUIBUKA MBABE ‘DAR ES SALAAM DERBY’ LEO?

LIGI Kuu ya NBC inaendelea leo kwa mchezo mmoja wa Ligi Kuu ya NBC Kati ya Azam na Yanga saa 2:30 usiku kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Azam inaingia kwenye mchezo huu unaotambulika kama ‘Dar es Salaam Derby’ ikiwa nafasi ya tatu na alama 44 baada ya michezo 20 huku…

Yahaya Abushehe · Read more

MZUNGUKO WA 25 NBC CHAMPIONSHIP KUANZA LEO.

LIGI ya NBC Championship inaendelea leo kwa michezo mitatu ya mzunguko wa 25 kupigwa leo. Mkoani Mtwara Mbeya Kwanza itakuwa mwenyeji wa Stand United saa 8:00 mchana kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona huku Mbeya Kwanza ikiwa nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa na alama 47 kwenye michezo 24. Saa 10:00 alasiri Pamba itakuwa mwenyeji…

Yahaya Abushehe · Read more

ISAMUHYO, KAITABA HAKUNA MBABE LIGI KUU YA NBC.

LIGI KUU ya NBC imeendelea leo Machi 13 kwa michezo miwili kuchezwa kwenye viwanja viwili tofauti. Mchezo wa mapema saa 10:00 alasiri ulizikutanisha JKT Tanzania dhidi ya Tanzania Prisons na kumalizika kwa sare ya bao 1. Bao la JKT Tanzania lilifungwa dakika ya 40 na Daniel Lyanga huku lile la Tanzania Prisons likifungwa na…

Yahaya Abushehe · Read more

VITA YA KISASI LIGI KUU YA NBC LEO.

LIGI Kuu ya NBC inaendelea leo Machi 11 kwa mchezo mmoja kuchezwa Kati ya timu ya Yanga na Ihefu kwenye uwanja wa Azam Complex mkoani Dar es salaam. Yanga inaingia kwenye mchezo Huu ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza kwenye mchezo wa mwisho timu hizi zilipokutana msimu huu kwa mabao 2-1 kwenye uwanja wa Highland…

Yahaya Abushehe · Read more

SIMBA KUJIULIZA KWA COASTAL, MECHI 3 KUPIGWA LEO.

Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo Machi 9 kwa michezo mitatu kuchezwa kwenye mikoa mitatu tofauti. Mkoani Morogoro Mtibwa Sugar itaialika Tanzania Prisons saa 10:00 alasiri kwenye uwanja wa Manungu huku timu zote mbili zikipata ushindi kwenye michezo yao iliyopita Mtibwa ikiifunga Singida Fountain Gate huku Tanzania Prisons ikiifunga Simba. Saa 12:00 jioni Coastal…

Yahaya Abushehe · Read more

YANGA KUREJEA KILELENI LEO ?

LIGI Kuu ya NBC inaendelea leo Machi 8 kwa mchezo mmoja Kati ya Namungo na Yanga saa 12:00 jioni kwenye uwanja wa Majaliwa mkoani Lindi. Ikiwa Yanga itapata matokeo ya Sare au Ushindi itarejea moja kwa moja kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC nafasi ambayo inashikiliwa na Azam kwa sasa iliyopata sare…

Yahaya Abushehe · Read more