YOUNG AFRICANS YAPAA KWA KISHINDO, NAMUNGO, MASHUJAA ZABANWA NYUMBANI LIGI KUU YA NBC.
Mzunguko wa Ligi Kuu ya NBC uliendelea kwa michezo mitatu iliyotoa burudani, ushindani mkubwa na matokeo yenye athari kwenye msimamo wa ligi hiyo huku Young Africans ikiendelea kuonyesha ubora wake kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 na kuwa timu pekee iliyopata matokeo ya ushindi kwa siku ya jana. Katika mchezo uliovuta hisia za mashabiki wengi,…