HAKUNA MBABE KMC COMPLEX LIGI KUU YA NBC.
LIGI Kuu ya NBC imeendelea kwa mchezo uliochezwa uwanja wa KMC majira ya saa Moja jioni Mkoani Dar es Salam uliozikutanisha KMC dhidi ya Tanzania Prisons na kumalizika kwa Sare ya bao 1-1. Kipindi cha kwanza kilianza kwa kasi huku Tanzania Prisons wakitangulia kupata bao la mapema dakika ya tano kupitia kwa Jeremiah Juma.…