News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

LIGI KUU YA NBC KUPAMBA MOTO LEO.

LIGI Kuu ya NBC itaendelea leo kwa michezo minne muhimu itakayochezwa ikiwa ni muendelezo wa mzunguko wa 23 katika viwanja tofauti huku kila timu ikisaka alama muhimu kuelekea mwisho wa msimu. Timu za juu zinapigania ubingwa huku zile za chini zikihangaika kujinasua kwenye hatari ya kushuka daraja na kucheza Ligi ya Championship ya NBC.…

Cynthia Michael · Read more

DODOMA YAISIMAMISHA YOUNG AFRICANS, COASTAL IKIILIZA MBEYA CITY.

TIMU ya Dodoma Jiji imemaliza utemi wa timu ya Young Africans wa kucheza michezo zaidi ya 40 bila kufungwa katika Ligi Kuu ya NBC baada ya kuifunga 3-2 kwenye uwanja wa Airtel Stadium, Singida huku timu ya Mbeya City ikikubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa timu ya Coastal Union. Dakika mbili zilimtosha kiungo wa…

Loveness Bernard · Read more

OKELLO,GONCALVES WANG’ARA TUZO ZA TFF APRIL

Kiungo mshambuliaji wa Young Africans, ALLAN OKELLO, amechaguliwa kuwa MchezajiBora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa mwaka 2025/26, huku PEDRO GONCALVES wa Young Africans, akichaguliwa Kocha Bora wa ligi hiyo kwa mwezi huo. Okello alionesha kiwango kizuri chenye mwendelezo akiwashinda Pacome Zouzoua waYanga na Idd Selemani wa Azam FC, alioingia nao fainali…

Loveness Bernard · Read more

FEISAL HAKAMATIKI PASI ZA MABAO LIGI KUU YA NBC.

VITA ya pasi za mabao imezidi kushika kasi kutokana na namna wachezaji mbalimbali wanavyopambana kuhakikisha wanazidi kusaidia timu zao kupata alama za Ligi Kuu ya NBC. Kiungo wa Azam Feisal Salum ndio kinara wa pasi za mwisho akiwa amecheza michezo 21 ya Ligi Kuu ya NBC, ndani ya dakika 1721 ameweza kutoa pasi za mabao…

Loveness Bernard · Read more

SINGIDA, FOUNTAIN, AZAM ZATAMBA LIGI KUU YA NBC.

LIGI Kuu ya NBC imeendelea kwa michezo iliyochezwa katika mikoa ya Arusha,Singida na Dar es salaam. Katika dimba la Singida, timu ya Singida Black Stars waliwakaribisha Pamba Jiji katika mchezo uliokuwa na kasi na ushindani mkubwa ulioshuhudia wenyeji wakionyesha ubora wao kwa kupata ushindi wa 3-1. Mabao mawili yaliwekwa kambani na Ndumumwe Mossi aliyefunga dakika…

Cynthia Michael · Read more

HAKUNA MBABE WA KARIAKOO MSIMU WA 2025/26.

LIGI Kuu ya NBC iliendelea jana kwa mchezo wa ‘Derby’ ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga iliyochezwa Mej. Jenerali isamuhyo na kumalizika kwa sare ya kusisimua ya mabao 2-2, katika pambano lililovuta hisia za mashabiki wengi. Simba walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Libasse Gueye dakika ya tatu kwa pasi safi ya…

Cynthia Michael · Read more

NYASI ZA MIKOA MITATU ‘KUWAKA MOTO’ LIGI KUU YA NBC.

LIGI Kuu ya NBC inarejea leo baada ya mapumziko ya takribani siku 10 ambapo mzunguko wa 22 utaanza leo katika mikoa ya Arusha, Mbeya na Dar es Salaam. Mchezo wa kwanza utakuwa mkoani Arusha ambapo Fountain Gate itaikaribisha timu ya Pamba Jiji katika uwanja wa Sheikhe Amri Kaluta majira ya saa 8:00 mchana. Fountain Gate…

Loveness Bernard · Read more

WIKI YA MAAMUZI, KUTOKA NEW AMAAN HADI MEJ. JEN ISAMUHYO.

SAFARI inaanza Aprili 29, visiwani Zanzibar ambapo macho yote yataelekezwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex timu za Simba na Young Africans (Yanga) zitakapokutana katika fainali ya Kombe la Muungano kwenye mchezo wenye uzito wa kipekee unaobeba heshima ya kitaifa na hadhi ya ushindani wa kihistoria kati ya timu hizi mbili. Fainali hii si tu…

Honest Mwanitega · Read more