SIMBA, PRISONS ZANG’ARA LIGI KUU YA NBC.
TIMU za Simba na Tanzania Prisons zimetakata katika viwanja vya nyumbani baada ya kuibuka na ushindi katika michezo yao ya kukamilisha mzunguko wa 26. Mchezo Simba na Pamba ulianza kwa kasi kila timu ikicheza kwa tahadhari kubwa ambapo ilimchukua dakika saba kiungo wa Simba, Ellie Mpanzu kufungua ukurasa wa mabao na dakika ya 18 Mathew…