News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

COASTAL, DODOMA HAZIKAMATIKI LIGI KUU YA NBC

LIGI Kuu ya NBC imeendelea Leo kwa Michezo miwili kuchezwa kwenye mikoa miwili tofauti. Mchezo wa mapema saa 10:00 alasiri ulizikutanisha JKT Tanzania dhidi ya Coastal Union katika uwanja wa Azam Complex, Dar na kushuhudia Coastal Union akiibuka na Ushindi wa Bao moja lililofungwa na Maabad Maulid Dakika ya 87 . Coastal Union imepanda…

Yahaya Abushehe · Read more

MKUTANO MKUU WA 10 TPLB WAFANYIKA DAR ES SALAAM

Mkutano mkuu wa 10 wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania umefanyika Disemba 8, 2023 kwenye ukumbi wa mikutano wa wa NSSF, Ilala na Mgeni Rasmi akiwa ni Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo nchini Mh. Damas Ndumbaro. Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa soka akiwemo Katibu Mkuu Mtendaji wa (BMT) Neema Msitha na Katibu…

Yahaya Abushehe · Read more

IHEFU, TANZANIA PRISONS KUKIWASHA LIGI KUU YA NBC.

TIMU za Ihefu na Tanzania Prisons zinashuka uwanjani leo kwenye mchezo pekee wa Ligi Kuu ya NBC utakaochezwa kwenye uwanja wa Highland Estates, Mbeya saa 10:00 alasiri. Ihefu inashuka uwanjani ikiwa haijashinda katika michezo saba iliyopita ikikusanya alama tisa na kushika nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC. Tanzania Prisons inaingia uwanjani…

Honest Mwanitega · Read more

GEITA YATAMBA, KAGERA IKIBANWA LIGI KUU YA NBC.

TIMU ya Geita Gold ya mkoani Geita imepata ushindi katika uwanja wa nyumbani wa Nyankumbu kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu huu baada ya kuifunga JKT Tanzania ya Dar es salaam bao 1-0. Huu ni ushindi wa pili kwa Geita msimu huu unaowafanya kufikisha alama 10 katika nafasi ya 10 ikipoteza michezo minne na kutoa…

Honest Mwanitega · Read more

‘LADHA’ ZA LIGI KUU YA NBC KUREJEA LEO

LIGI Kuu ya NBC inarejea Leo Novemba 22 kwa michezo miwili baada ya kusimama kwa siku 13 kupisha kalenda ya FIFA ya michezo ya kimataifa. Mchezo wa kwanza utazikutanisha Geita Gold inayoshika nafasi ya 15 ikiwa na alama saba dhidi ya JKT Tanzania inayoshika nafasi ya sita ikiwa na alama 14 katika mchezo utakaoanza saa…

Yahaya Abushehe · Read more

RUVU KUJIULIZA KWA STAND , MBUNI, POLISI VITA NBC CHAMPIONSHIP LEO

Ligi ya NBC Championship inaendelea leo Novemba 17 kwa michezo miwili kwenye mikoa miwili tofauti. Mchezo wa saa 8:00 Mchana Stand United watawaalika Ruvu Shooting kwenye uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga. Stand ipo nafasi ya 10 kwenye msimamo ikicheza jumla ya michezo 10 na kupata ushindi kwenye michezo mitatu, sare tatu na kufungwa minne huku…

Yahaya Abushehe · Read more

TMA WABABE WA FIRST LEAGUE WANAOTESA NBC CHAMPIONSHIP.

Timu ya TMA yenye maskani yake Arusha inayoshiriki ligi ya NBC Championship imekua na mwanzo mzuri ndani ya ligi hiyo hadi hivi sasa huku ikishiriki ligi hiyo kwa msimu wa kwanza. TMA ndio timu pekee kwenye Ligi ya NBC Championship ambayo haijapoteza mchezo wowote wa ligi hiyo hadi sasa. Timu hiyo ambayo imepanda daraja…

Yahaya Abushehe · Read more

MASHUJAA, GEITA KUSAKA HESHIMA LIGI KUU NBC

LIGI KUU ya NBC inaendelea leo Novemba 6 kwa michezo miwili kwenye Mikoa miwili tofauti kati ya Mashujaa wakiwaalika Singida BS kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mkoani kigoma na Geita Gold dhidi ya Tabora United kwenye uwanja wa Nyankumbu, Geita huku michezo yote ikianza saa 10:00 alasiri. Mashujaa wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa na kumbukumbu…

Yahaya Abushehe · Read more

YANGA YAIADHIBU SIMBA LIGI KUU YA NBC.

MABAO 5-1 walioshinda Yanga dhidi ya Simba yametosha kuwabakiza kileleni mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya NBC kwa alama 21 baada ya kucheza mechi tisa. Mabao yaliyofungwa na Kennedy Musonda, Maxi Nzengeli aliyefunga mawili, Ki Aziz na Pacome Zouzoua yameifanya Simba kuruhusu mabao 10 huku wakifunga 17. Ushindi huo umeifanya Yanga kufikisha jumla ya…

Honest Mwanitega · Read more