News

Announcements, match reports and updates from the Tanzania Premier League Board.

TMA WANA UKUTA MGUMU NBC CHAMPIONSHIP.

TAYARI mabao 286 yamefungwa hadi hivi sasa kwenye Ligi ya NBC Championship baada ya mizunguko 16 ya Ligi hiyo kukamilika. TMA ndiyo timu iliyofungwa mabao machache hadi hivi sasa ikifungwa jumla ya mabao 5 katika michezo 16 waliyocheza. Ken Gold na Pamba ndiyo wanafuatia kwa kufungwa mabao machache wakifungwa mabao 10 kila mmoja kwenye…

Yahaya Abushehe · Read more

SINGIDA FG, SIMBA NANI KWENDA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI ?

HATUA ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi inamalizika leo januari 10 kwa mchezo kati ya Singida FG na Simba saa 2:15 kwenye uwanja wa New Amaan Complex. Singida imeingia hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa Azam Katika hatua ya robo fainali huku Simba akiitoa Jamhuri. Singida FG na Simba ndiyo wawakilishi pekee…

Yahaya Abushehe · Read more

KEN GOLD TIMU KINARA UFUNGAJI WA MABAO NBC CHAMPIONSHIP.

TAYARI mizunguko 16 ya Ligi ya NBC Championship imechezwa na kushudia jumla ya mabao 286 yakifungwa. Ken Gold ndiyo timu inayoongoza kwa ufungaji wa mabao ikifunga jumla ya mabao 29 katika michezo 16 waliyocheza. Biashara United ndiyo inafuatia kwa ufungaji wa mabao ikifunga jumla ya mabao 28 kwenye michezo 16, Pamba wanafuata wakiwa na…

Yahaya Abushehe · Read more

SINGIDA FG, SIMBA ZATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI.

HATUA ya robo fainali ya kombe la mapinduzi imemalizika leo kwa michezo miwili kupigwa. Robo fainaili ya kwanza kwa leo ilizikutanisha Azam na Singida FG saa 10:15 alasiri kwenye uwanja wa New Amaan Complex na kumalizika kwa Azam kukubali kichapo cha mabao 2-1. Saa 2:15 usiku Simba ikawakabili Jamhuri na kumalizika kwa Simba kuibuka…

Yahaya Abushehe · Read more

AZAM, SINGIDA, SIMBA KIBARUANI LEO ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI.

KOMBE la Mapinduzi hatua ya robo fainali inaendelea leo visiwani Zanzibar huku wawakilishi watatu wa Ligi Kuu ya NBC wakiingia vitani. Mchezo wa mapema saa 10:15 utawakutanisha wawakilishi wawili wa Ligi Kuu ya NBC Azam wakiwakabili Singida FG. Azam wamefika hatua ya robo fainali baada ya kuongoza kundi A wakiwa na Alama saba baada…

Yahaya Abushehe · Read more

NBC CHAMPIONSHIP HAKUNA KULALA, MECHI TATU KUPIGWA LEO.

LIGI ya NBC Championship inaendelea leo januari 7, kwa michezo mitatu kupigwa kwenye mikoa mitatu tofauti. Mkoani Mara Biashara United watakuwa wenyeji wa Mbuni saa 8:00 mchana kwenye uwanja wa Karume. Mchezo huo unabeba hisia za mashabiki wengi kutokana na nafasi za kila timu, Biashara wapo nafasi ya tano kwenye msimamo wakiwa na alama…

Yahaya Abushehe · Read more

YANGA KUWAVAA APR ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI LEO.

KOMBE la Mapinduzi linaendelea leo Januari 7 katika hatua ya Robo fainali ambapo mwakilishi wa Ligi Kuu ya NBC Yanga atakuwa kibaruani saa 2:15 usiku kwenye uwanja wa New Amaan Complex kuwakabili APR ya Rwanda. Yanga wamefika hatua hii baada ya kuongoza kundi C kwa kujikusanyia alama saba kwenye michezo mitatu huku APR wakipita…

Yahaya Abushehe · Read more

TMA, POLISI ZATAKATA NBC CHAMPIONSHIP LEO.

LIGI ya NBC Championship imeendelea leo Januari 6, kwa michezo minne kupigwa kwenye mikoa mitatu tofauti. Mkoani Pwani michezo miwili ilipigwa kwenye uwanja wa Mabatini huku mapema saa 8:00 mchana Pan African waliwaalika Copco na mchezo huo kumalizika kwa sare ya bao moja, saa 10:00 alasiri Green Warriors wakawaalika Mbeya City na kumalizika kwa…

Yahaya Abushehe · Read more