SIMBA YAFUTA ‘UTEJA’ KARIAKOO ‘DERBY’.
Timu ya Simba imeibuka na ushindi kwenye dabi ya Kariakoo baada ya kuifunga timu ya Young Africans bao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa Oktoba 10 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar-es Salaam. Mchezo huo ulioanza majira ya saa 1:00 usiku ulikuwa muhimu kwa timu zote ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye…